On trend

(Download Audio)Ngwair- Alma (Albert Mangwea) ft Mirror (Through Back Mp3 )Leo Ni Miaka Sita Imetimia Rasimi Baada Ya Kumpoteza King Of Freestyle Hapa Namzungumzia Albert Mangwea A.k.A Cow Bama @Ngwair, Ngwair alifariki mnamo tarrehe 28 May 2013 nchini South Africa.
We Miss You Man!

Hii ngoma ilitoka baada ya kufariki marehemu Ngwair miaka kadhaa ilipita ikiwa msanii Ngwair ali tutoka tarehe kama ya leo tumeamua kukuletea hii ngoma inaitwa "ALMA" alomshirikisha msanii kutoka East Zoo Mirror akiwa ni mmoja ya vijana wake enzi za uhai wake, nakuletea hii ili kumuenzi na kumuombea apumzike kwa amani. 

Artist Name : Albert Mangwea [Ngwair] feat Mirror 

Song Name : Alma

Play / Download