SIKU YA KUZALIWA YATOA ZAWADI NYINGINE KWA EMILIANA | SOMA ZAIDI - JMMUSIC MEDIA / JM MUSIC MEDIA

On trend

SIKU YA KUZALIWA YATOA ZAWADI NYINGINE KWA EMILIANA | SOMA ZAIDI


SIKU YA KUZALIWA YATOA ZAWADI NYINGINE KWA EMILIANA

Baada ya kupata zawadi ya uhai kwenye siku yake ya kuzaliwa, Emiliana Sospeter Kongola amezadiwa zawadi nyingine na siku yake hiyo maalum kwa kushinda Laki Tano kutoka MojaSpesho.

Emiliana (21), mkazi waVingunguti, Dar es Salaam alianza kucheza MojaSpesho wiki nne zilizopita na juzi alifanikwa kutoboa ushindi baada ya kucheza namba 3 za bahati ambazo alizitengeneza kutoka katika siku yake ya kuzaliwa.

“Nilivyopigiwa simu sikuamini, nilijua ni matapeli wa mjini. Lakini wakanielezea vizuri na kunambia namna ya kupata pesa yangu niliyoshinda. Na sasa nimeupata ndo nimeamini.” ameeleza Emiliana.


Nawe pia unaweza kuwa mshindi kila siku na jackpot ya kila wiki. Jinsi ya kucheza Mojaspesho ni rahisi
1. Nenda kwenye menu yako ya #Mpesa, #TigoPesa, #AirtelMoney au #Halopesa;
2. Chagua lipia bili
3. Ingiza kampuni namba 123255
4. Ingiza kumbukumbu namba zako 3 za bahati zikifuatiwa na neno SEE mf. 123SEE
5. Weka kiasi kuanzia sh 1000 na utakua umecheza #Mojaspesho.